Thursday, November 13, 2014

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bw. Leonidas Gama ataweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo hili la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), lililo mtaa wa Aga Khan mjini Moshi leo, Novemba 23, 2014. 




Upande wa kushoto wa jengo hilo. Vyumba vyote vya jengo hilo vimeshapangishwa.


Jengo linavyoonekana upande wa nyuma na kuufanya mji wa Moshi kuzidi kupendeza.

0 TOA MAONI YAKO HAPA.:

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!