Thursday, November 13, 2014

Wanafunzi watatu wa darasa la Nne wa shule ya Msingi Ilomba wilaya ya Ileje mkoani Mbeya, wamefariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi.

Kabla ya mauti kuwafika, wanafunzi hao walitolewa darasani na Mwalimu wao ili wamsaidie kubeba kifusi kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yake binafsi.

Kati yao mmoja ni mvulana na wawili ni wasichana.

0 TOA MAONI YAKO HAPA.:

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!