TAARIFA
YA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) ULIOFANYIKA MEI 2014
- UTANGULIZI
Baraza la Mitihani la Tanzania katika kikao chake
cha 100 kilichofanyika tarehe 15 Julai, 2014liliidhinisha
kutangazwa rasmi kwa matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) uliofanyika
tarehe 05 – 21 Mei 2014. Matokeo haya yamechakatwa kwa
kutumia viwango vya alama na madaraja ya ufaulu kama ilivyooneshwa katika
Jedwali la 1 na la 2.
Alama
|
Uwigo wa Alama
|
A
|
75 – 100
|
B+
|
60 – 74
|
B
|
50 – 59
|
C
|
40 – 49
|
D
|
30 – 39
|
E
|
20 – 29
|
F
|
0 – 19
|
Jedwali la 2: Madaraja ya
Ufaulu.
DARAJA
|
POINTI/VIGEZO
|
I
|
3 – 7
|
II
|
8 – 9
|
III
|
10- 13
|
IV
|
Awe na angalau D mbili au ‘principal pass’moja
isiyopungua C.
|
O
|
Aliyepata ufaulu chini ya D mbili
|
Uzito wa alama katika
Gredi; A=1, B+= 2, B=3, C=4, D=5, E=6 na F=7.
- USAJILI NA MAHUDHURIO
- Watahiniwa wote
Jumla ya
watahiniwa 41,968 waliandikishwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita
2014 wakiwemo wasichana 12,674 (30.20%) na wavulana 29,294
(69.80%). Watahiniwa wa Shule walikuwa 35,650 ikilinganishwa na
watahiniwa 43,231 walioandikishwa kufanya mtihani huo mwaka 2013.
Kati ya
watahiniwa 41,968 waliosajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita
Mei 2014, watahiniwa 40,695 sawa
na asilimia 96.97 walifanya mtihani na
watahiniwa 1,273 sawa naasilimia 3.03 hawakufanya mtihani.
- Watahiniwa wa Shule
Kwa Watahiniwa wa Shule, kati ya
watahiniwa 35,650 waliosajiliwa, watahiniwa 35,418 sawa na
asilimia 99.35 walifanya mtihani ambapo wasichana walikuwa
ni 11,022 (99.63%) na wavulana ni 24,396 (99.22%). Watahiniwa 232
(0.65%) hawakufanya mtihani.
- Watahiniwa wa Kujitegemea
Kwa upande wa Watahiniwa wa Kujitegemea, kati ya
watahiniwa 6,318 waliosajiliwa, watahiniwa 5,277 sawa na
asilimia 83.52 walifanya mtihani na watahiniwa 1,041 sawa
na asilimia 16.48 hawakufanya mtihani.
- MATOKEO YA MTIHANI
- Watahiniwa Wote
Jumla ya
watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa
waliofanya Mtihani wa Kidato cha Sita 2014 wamefaulu. Wasichana waliofaulu
ni 12,080 sawa na asilimia 97.66wakati wavulana waliofaulu
ni 26,825 sawa na asilimia 95.25.
Mwaka 2013 watahiniwa
waliofaulu walikuwa ni 44,366 sawa na asilimia 87.85.
- Watahiniwa wa Shule
Watahiniwa wa Shule
waliofaulu ni 34,645 sawa na asilimia 98.26 ya waliofanya mtihani.
Wasichana waliofaulu ni 10,900 sawa na asilimia 99.20 na
wavulana ni 23,745 sawa na asilimia97.84.
Mwaka 2013
Watahiniwa 40,242 sawa na asilimia 93.92 ya Watahiniwa wa
Shule walifaulu mtihani huo.
- Watahiniwa wa Kujitegemea
Idadi ya Watahiniwa wa
Kujitegemea waliofaulu mtihani ni 4,260 sawa na
asilimia 80.73.Mwaka 2013 Watahiniwa wa Kujitegemea 4,124 sawa
na asilimia 53.87 walifaulu mtihani huo.
- UBORA WA UFAULU
Ubora wa ufaulu kwa
kuangalia madaraja waliyopata Watahiniwa wa Shule unaonesha kuwa jumla ya
watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu
katika madaraja I – IIIwakiwemo wasichana 9,954 sawa na
asilimia 90.59 na wavulana 20,271 sawa na asilimia83.53.
Jedwali lifuatalo
linaonesha ufaulu kwa kila Daraja kwa Watahiniwa wa Shule na kwa Jinsi:
Daraja
la Ufaulu
|
Wavulana
|
Wasichana
|
Jumla
|
|||
Idadi
|
Asilimia
|
Idadi
|
Asilimia
|
Idadi
|
Asilimia
|
|
I
|
2,232
|
9.20
|
1,541
|
14.02
|
3,773
|
10.70
|
II
|
6,179
|
25.46
|
3,452
|
31.42
|
9,631
|
27.32
|
III
|
11,860
|
48.87
|
4,961
|
45.15
|
16,821
|
47.71
|
IV
|
3,474
|
14.31
|
946
|
8.61
|
4,420
|
12.54
|
0
|
524
|
2.16
|
88
|
0.80
|
612
|
1.74
|
- UFAULU WA MASOMO KWA WATAHINIWA WA SHULE
Jedwali lifutalo
linaonesha kuwa ufaulu wa watahiniwa wa shule katika masomo yote (14) ya msingi
umepanda ikilinganishwa na mwaka 2013. Ufaulu wa juu kabisa ni ule wa somo
laKiswahili ambapo asilimia 99.88 ya watahiniwa wote wa Shule
waliofanya somo hilo wamefaulu. Aidha, ufaulu katika masomo ya Sayansi
(Physics, Chemistry, Biology na Advanced Mathematics) umeendelea kuimarika kwa
kulinganisha na ufaulu wa masomo hayo mwaka 2013.
Na.
|
MASOMO
|
WALIOFAULU 2013
|
WALIOFAULU 2014
|
||
IDADI
|
ASILIMIA
|
IDADI
|
ASILIMIA
|
||
111
|
GENERAL STUDIES
|
16,507
|
38.53
|
32,590
|
92.44
|
112
|
HISTORY
|
18,987
|
97.33
|
13,308
|
99.90
|
113
|
GEOGRAPHY
|
20,578
|
96.87
|
19,089
|
99.48
|
114
|
DIVINITY
|
2,674
|
90.61
|
2,280
|
96.65
|
115
|
ISLAMIC KNOWLEDGE
|
705
|
57.36
|
436
|
73.28
|
121
|
KISWAHILI
|
11,840
|
96.95
|
6,384
|
99.98
|
122
|
ENGLISH LANGUAGE
|
11,081
|
93.61
|
8,111
|
99.04
|
123
|
FRENCH
|
88
|
91.67
|
59
|
98.33
|
125
|
ARABIC
|
801
|
82.32
|
443
|
93.86
|
131
|
PHYSICS
|
5,788
|
46.34
|
9,311
|
78.41
|
132
|
CHEMISTRY
|
13,809
|
83.87
|
15,340
|
95.78
|
133
|
BIOLOGY
|
9,181
|
87.05
|
10,693
|
97.57
|
134
|
AGRICULTURE
|
537
|
98.35
|
350
|
99.72
|
136
|
COMPUTER SCIENCE
|
74
|
80.43
|
94
|
98.95
|
141
|
BASIC APPLIED
MATHEMATICS
|
7,827
|
49.48
|
11,370
|
77.39
|
142
|
ADVANCED MATHEMATICS
|
6,895
|
69.32
|
8,537
|
89.40
|
151
|
ECONOMICS
|
8,173
|
93.53
|
7,589
|
99.57
|
152
|
COMMERCE
|
1,573
|
88.57
|
821
|
99.76
|
153
|
ACCOUNTANCY
|
1,660
|
93.42
|
819
|
99.27
|
155
|
FOOD AND HUMAN
NUTRITION
|
107
|
98.17
|
121
|
100
|
- SHULE ZILIZOFANYA VIZURI ZAIDI
Ubora wa shule umepangwa
kwa kutumia kigezo cha Wastani wa Pointi (Grade Point Average –
GPA) ambapo A=1, B+= 2, B=3, C=4, D=5, E=6 na F=7.
Mchanganuo wa upangaji wa
Shule zilizofanya vizuri umezingatia shule zenye idadi ya watahiniwa
wasiopungua 30.
6.1 Shule kumi (10) bora
Na
|
JINA LA SHULE
|
IDADI YA WATAHINIWA
|
MKOA
|
1
|
IGOWOLE S S
|
30
|
IRINGA
|
2
|
FEZA BOYS’ S S
|
60
|
DAR ES SALAAM
|
3
|
KISIMIRI S S
|
52
|
ARUSHA
|
4
|
IWAWA S S
|
39
|
NJOMBE
|
5
|
KIBAHA S S
|
167
|
PWANI
|
6
|
MARIAN GIRLS S S
|
138
|
PWANI
|
7
|
NANGWA S S
|
97
|
MANYARA
|
8
|
UWATA S S
|
30
|
MBEYA
|
9
|
KIBONDO S S
|
62
|
KIGOMA
|
10
|
KAWAWA S S
|
47
|
IRINGA
|
6.2 Shule kumi (10) za
Mwisho
Na
|
JINA LA SHULE
|
IDADI YA WATAHINIWA
|
MKOA
|
1
|
BEN BELLA S S
|
105
|
UNGUJA
|
2
|
FIDEL CASTRO S S
|
69
|
PEMBA
|
3
|
TAMBAZA S S
|
322
|
DAR ES SALAAM
|
4
|
MUHEZA HIGH SCHOOL
|
117
|
TANGA
|
5
|
MAZIZINI S S
|
97
|
UNGUJA
|
6
|
MTWARA TECHNICAL S S
|
103
|
MTWARA
|
7
|
IYUNGA TECHNICAL S S
|
158
|
MBEYA
|
8
|
AL-FALAAH MUSLIM S S
|
37
|
UNGUJA
|
9
|
KALIUA S S
|
237
|
TABORA
|
10
|
OSWARD MANG’OMBE S S
|
122
|
MARA
|
- WATAHINIWA WALIOFANYA VIZURI ZAIDI
Watahiniwa waliofanya
vizuri zaidi wamepatikana kwa kuangalia wastani wa Pointi (GPA)kwenye masomo
ya tahasusi (combination) pamoja na wastani wa alama za jumla
walizopata.
- Watahiniwa Kumi (10) Bora kwa Masomo ya Sayansi Kitaifa
Na.
|
JINA
|
JINSI
|
SHULE
|
MKOA
|
MCHEPUO
|
1
|
ISAACK A SHAYO
|
M
|
ST.JOSEPH’S CATHEDRAL
|
DAR ES SALAAM
|
PCM
|
2
|
DORIS ATIENO NOAH
|
F
|
MARIAN GIRLS
|
PWANI
|
PCM
|
3
|
INNOCENT SABBAS YUSUFU
|
M
|
FEZA BOYS’
|
DAR ES SALAAM
|
PCB
|
4
|
PLACID EZEKIEL PIUS
|
M
|
MOSHI
|
KILIMANJARO
|
PCM
|
5
|
BENNI B SHAYO
|
M
|
ILBORU
|
ARUSHA
|
PCM
|
6
|
ABUBAKAR JUMA
|
M
|
MZUMBE
|
MOROGORO
|
PCM
|
7
|
MWAMINIMUNGU
CHRISTOPHER
|
M
|
TABORA BOYS
|
TABORA
|
PCM
|
8
|
CHIGULU JAPHALY
|
M
|
MZUMBE
|
MOROGORO
|
PCM
|
9
|
HUSSEIN PARPIA
|
M
|
AL-MUNTAZIR ISLAMIC
SEMINARY
|
DAR ES SALAAM
|
PCM
|
10
|
RAMADHANI ALLY MSANGI
|
M
|
FEZA BOYS’
|
DAR ES SALAAM
|
PCM
|
- Wasichana Kumi (10) Bora kwa Masomo ya Sayansi Kitaifa:
Na.
|
JINA
|
SHULE
|
MKOA
|
MCHEPUO
|
1
|
DORIS ATIENO NOAH
|
MARIAN GIRLS
|
PWANI
|
PCM
|
2
|
MONICA E MTEI
|
MARIAN GIRLS
|
PWANI
|
PCB
|
3
|
WEMA KIBANGA
|
MARIAN GIRLS
|
PWANI
|
PCB
|
4
|
DEBORAH A MLAWA
|
MARIAN GIRLS
|
PWANI
|
PCM
|
5
|
DOREEN P KASHUSHURA
|
MARIAN GIRLS
|
PWANI
|
PCM
|
6
|
HEAVENLIGHT M MUNISI
|
ST.MARY GORETI
|
KILIMANJARO
|
PCM
|
7
|
FRIDA MBILINYI
|
MSALATO
|
DODOMA
|
PCM
|
8
|
AISHA A MNJOVU
|
FEZA GIRLS’
|
DAR ES SALAAM
|
PCM
|
9
|
GLORY KWEKA
|
MSALATO
|
DODOMA
|
PCM
|
10
|
MULHAT AHMED SAID
|
FEZA GIRLS’
|
DAR ES SALAAM
|
PCM
|
- Wavulana Kumi (10) Bora kwa Masomo ya Sayansi Kitaifa:
Na.
|
JINA
|
SHULE
|
MKOA
|
MCHEPUO
|
1
|
ISAACK A SHAYO
|
ST.JOSEPH’S CATHEDRAL
|
DAR ES SALAAM
|
PCM
|
2
|
INNOCENT SABBAS YUSUFU
|
FEZA BOYS’
|
DAR ES SALAAM
|
PCB
|
3
|
PLACID EZEKIEL PIUS
|
MOSHI
|
KILIMANJARO
|
PCM
|
4
|
BENNI B SHAYO
|
ILBORU
|
ARUSHA
|
PCM
|
5
|
ABUBAKAR JUMA
|
MZUMBE
|
MOROGORO
|
PCM
|
6
|
MWAMINIMUNGU
CHRISTOPHER
|
TABORA BOYS
|
TABORA
|
PCM
|
7
|
CHIGULU JAPHALY
|
MZUMBE
|
MOROGORO
|
PCM
|
8
|
HUSSEIN PARPIA
|
AL-MUNTAZIR ISLAMIC
SEMINARY
|
DAR ES SALAAM
|
PCM
|
9
|
RAMADHANI ALLY MSANGI
|
FEZA BOYS’
|
DAR ES SALAAM
|
PCM
|
10
|
LUSEKELO A KIHESYA
|
MPWAPWA
|
DODOMA
|
PCM
|
- Watahiniwa Kumi (10) Bora kwa Masomo ya Biashara Kitaifa
Na.
|
JINA
|
JINSI
|
SHULE
|
MKOA
|
MCHEPUO
|
1
|
JOVINA LEONIDAS
|
F
|
NGANZA
|
MWANZA
|
ECA
|
2
|
NESTORY MAKENDI
|
M
|
KIBAHA
|
PWANI
|
ECA
|
3
|
IMMA ANYANDWILE
|
M
|
UMBWE
|
KILIMANJARO
|
ECA
|
4
|
THERESIA CYPRIAN MARWA
|
F
|
LOYOLA
|
DAR ES SALAAM
|
ECA
|
5
|
GRACE DAVID CHELELE
|
F
|
LOYOLA
|
DAR ES SALAAM
|
ECA
|
6
|
BETRIDA J RUGILA
|
F
|
BAOBAB
|
PWANI
|
ECA
|
7
|
JACQUELINE V KALINGA
|
F
|
WERUWERU
|
KILIMANJARO
|
ECA
|
8
|
TAJIEL ELISHA KITOJO
|
F
|
ARUSHA
|
ARUSHA
|
ECA
|
9
|
SHRIYA SANJIV RAMAIYA
|
F
|
SHAABAN ROBERT
|
DAR ES SALAAM
|
ECA
|
10
|
MWANAID MWAZEMA
|
F
|
WERUWERU
|
KILIMANJARO
|
ECA
|
- Wasichana kumi (10) Bora kwa Masomo ya Biashara Kitaifa
Na.
|
JINA
|
SHULE
|
MKOA
|
MCHEPUO
|
1
|
JOVINA LEONIDAS
|
NGANZA
|
MWANZA
|
ECA
|
2
|
THERESIA CYPRIAN MARWA
|
LOYOLA
|
DAR ES SALAAM
|
ECA
|
3
|
GRACE DAVID CHELELE
|
LOYOLA
|
DAR ES SALAAM
|
ECA
|
4
|
BETRIDA J RUGILA
|
BAOBAB
|
PWANI
|
ECA
|
5
|
JACQUELINE V KALINGA
|
WERUWERU
|
KILIMANJARO
|
ECA
|
6
|
TAJIEL ELISHA KITOJO
|
ARUSHA
|
ARUSHA
|
ECA
|
7
|
SHRIYA SANJIV RAMAIYA
|
SHAABAN ROBERT
|
DAR ES SALAAM
|
ECA
|
8
|
MWANAID MWAZEMA
|
WERUWERU
|
KILIMANJARO
|
ECA
|
9
|
VAILETH KALAGO
|
NGANZA
|
MWANZA
|
ECA
|
10
|
MARY ROBERT NGOWA
|
NGANZA
|
MWANZA
|
ECA
|
- Wavulana Kumi (10) Bora kwa Masomo ya Biashara Kitaifa
Na.
|
JINA
|
SHULE
|
MKOA
|
MCHEPUO
|
1
|
NESTORY MAKENDI
|
KIBAHA
|
PWANI
|
ECA
|
2
|
IMMA ANYANDWILE
|
UMBWE
|
KILIMANJARO
|
ECA
|
3
|
KELVIN NZOWA
|
KIBAHA
|
PWANI
|
ECA
|
4
|
KIBHULI MWITA
|
KIBAHA
|
PWANI
|
ECA
|
5
|
PRINCE MBWATE MWAMBAJA
|
ST.JOSEPH’S CATHEDRAL
|
DAR ES SALAAM
|
ECA
|
6
|
ERASTO SONELO
|
KIBAHA
|
PWANI
|
ECA
|
7
|
JOEL MATHEW MHANA
|
KIBAHA
|
PWANI
|
ECA
|
8
|
SADICK MWANGA LUHEYA
|
KIBAHA
|
PWANI
|
ECA
|
9
|
SHEWISHI H RAYMOND
|
UMBWE
|
KILIMANJARO
|
ECA
|
10
|
ANTONY VICENT MUSHI
|
UMBWE
|
KILIMANJARO
|
ECA
|
- Watahiniwa Kumi (10) Bora kwa Masomo ya Lugha na Sanaa Kitaifa
Na.
|
JINA
|
JINSI
|
SHULE
|
MKOA
|
MCHEPUO
|
1
|
LISA VICTOR MIMBI
|
F
|
ST.MARY GORETI
|
KILIMANJARO
|
EGM
|
2
|
ROSALYN A TANDAU
|
F
|
MARIAN GIRLS
|
PWANI
|
EGM
|
3
|
JOSEPH NGOBYA
|
M
|
ST.JOSEPH’S CATHEDRAL
|
DAR ES SALAAM
|
EGM
|
4
|
ANETH D MTENGA
|
F
|
MARIAN GIRLS
|
PWANI
|
EGM
|
5
|
IDDA MICHAEL LAWENJA
|
F
|
MARIAN GIRLS
|
PWANI
|
HGL
|
6
|
EDNA EMMANUEL MWANKENJA
|
F
|
KISIMIRI
|
ARUSHA
|
HKL
|
7
|
CATHERINE J KIIZA
|
F
|
ST.MARY’S MAZINDE JUU
|
TANGA
|
HKL
|
8
|
NANCY ADON SWAI
|
F
|
MWIKA
|
KILIMANJARO
|
EGM
|
9
|
MOHAMED SALMIN
|
M
|
MWANZA
|
MWANZA
|
HGK
|
10
|
IDRISA HAMISI
|
M
|
MWEMBETOGWA
|
IRINGA
|
HGL
|
- Wasichana Kumi (10) Bora kwa Masomo ya Lugha na Sanaa Kitaifa
Na.
|
JINA
|
SHULE
|
MKOA
|
MCHEPUO
|
1
|
LISA VICTOR MIMBI
|
ST.MARY GORETI
|
KILIMANJARO
|
EGM
|
2
|
ROSALYN A TANDAU
|
MARIAN GIRLS
|
PWANI
|
EGM
|
3
|
ANETH D MTENGA
|
MARIAN GIRLS
|
PWANI
|
EGM
|
4
|
IDDA MICHAEL LAWENJA
|
MARIAN GIRLS
|
PWANI
|
HGL
|
5
|
EDNA EMMANUEL MWANKENJA
|
KISIMIRI
|
ARUSHA
|
HKL
|
6
|
CATHERINE J KIIZA
|
ST.MARY’S MAZINDE JUU
|
TANGA
|
HKL
|
7
|
NANCY ADON SWAI
|
MWIKA
|
KILIMANJARO
|
EGM
|
8
|
HADIJA YUSUPH NGONYANI
|
MWANZA
|
MWANZA
|
HKL
|
9
|
VICTORIA R NDOSI
|
ASHIRA
|
KILIMANJARO
|
HGE
|
10
|
ZUHURA SHABANI MKILALU
|
MARIAN GIRLS
|
PWANI
|
EGM
|
- Wavulana Kumi (10) Bora kwa Masomo ya Lugha na Sanaa Kitaifa
Na.
|
JINA
|
SHULE
|
MKOA
|
MCHEPUO
|
1
|
JOSEPH NGOBYA
|
ST.JOSEPH’S CATHEDRAL
|
DAR ES SALAAM
|
EGM
|
2
|
MOHAMED SALMIN
|
MWANZA
|
MWANZA
|
HGK
|
3
|
IDRISA HAMISI
|
MWEMBETOGWA
|
IRINGA
|
HGL
|
4
|
SELEMAN RAPHAEL
NDIKIMINWE
|
HUMURA
|
KAGERA
|
HKL
|
5
|
SUNDAY MWAKIPAGALA
|
ALPHA
|
DAR ES SALAAM
|
EGM
|
6
|
ERASTO EMMANUEL
|
KISIMIRI
|
ARUSHA
|
HKL
|
7
|
MASHAURI FURAHISHA
FAUSTINE
|
MWANZA
|
MWANZA
|
HKL
|
8
|
EBBY EBAYOTH MALILA
|
UWATA
|
MBEYA
|
HKL
|
9
|
CHARLES M ALBERT
|
PUGU
|
DAR ES SALAAM
|
EGM
|
10
|
JOSEPH BASILIO
|
KAWAWA
|
IRINGA
|
HGK
|
- MATOKEO YA MTIHANI YALIYOZUILIWA
Baraza la Mitihani la
Tanzania limezuia kutoa matokeo ya:
- Watahiniwa 150 wa Shule ambao hawajalipa ada ya Mtihani hadi watakapolipa.
- Watahiniwa 9 wa shule ambao walipata matatizo ya kiafya na kushindwa kufanya mtihani kwa baadhi ya masomo. Watahiniwa husika wamepewa fursa ya kufanya mtihani kwa masomo ambayo hawakuyafanya kwa sababu ya ugonjwa katika Mtihani wa Kidato cha Sita Mei, 2015.
- Watahiniwa 29 wa shule ambao walipata matatizo ya kiafya na kushindwa kufanya mtihani kwa masomo yote. Watahiniwa husika wamepewa fursa ya kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita Mei, 2015.
- MATOKEO YA MTIHANI YALIYOFUTWA
Baraza la Mitihani la
Tanzania limefuta matokeo yote ya watahiniwa wawili (02)
waliobainika kufanya udanganyifu katika mtihani.
Baraza la Mitihani la
Tanzania linapenda kutumia fursa hii kuzipongeza Kamati za Uendeshaji Mitihani
za Mikoa na Wilaya, Wakuu wa Shule na Wasimamizi wa Mtihani uliyofanyika Mei,
2014 kwa kuzingatia na kusimamia taratibu za Uendeshaji Mitihani vizuri na
hivyo kuzuia udanganyifu kufanyika. Aidha, Baraza linawapongeza watahiniwa wote
waliofanya Mtihani wa Kidato cha Sita, 2014 kwa kutojihusisha na udanganyifu.
- KUANGALIA MATOKEO YA MITIHANI
- Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) uliofanyika Mei 2014 yanapatikana katika tovuti zifuatazo:
·
www.necta.go.tz au www.moe.go.tz na
- Matokeo yanaweza kupatikana pia kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno (SMS) kwenda namba 15311. Jinsi ya kutuma ujumbe andika:
MATOKEOXNAMBA_KITUOXNAMBA_MTAHINIWA
(Mfano : matokeoxS0101x0503)
Dkt.
Charles E. Msonde
KAIMU KATIBU MTENDAJI
16/07/2014
0 TOA MAONI YAKO HAPA.:
Post a Comment