Ni agizo lililotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi. Marufuku shirika, taasisi
au Idara ya Serikali kuchapisha hizo kadi. Fedha zilizotengwa zitumike
kupunguza madeni ya wizara, taasisi na idara. Anayetaka kuchapisha,
ametakiwa afanye hivyo kwa gharama zake mwenyewe.
Chanzo: Taarifa ya Ikulu.
0 TOA MAONI YAKO HAPA.:
Post a Comment