Friday, June 6, 2014

  Chatu akiwa anatambaa pembeni ya ukuta kuingia ndani ya nyumba hiyo huku wananchi wakimshangaa





Hicho ni kitambaa ambacho alikuwa amefungwa chatu huyo mkiani.


 Chatu akiwa amekatwa katwa na wananchi 
Chatu wa ajabu ameuawa jijini Arusha na wananchi 'wenye hasira kali' leo jioni.





Alionekana chatu maeneo ya Sakina akiingia kwenye nyumba ya mkazi mmoja wa eneo hilo. Wananchi walipomuona, waliogopa, wakampigia simu mwenye nyumba ambaye wakati huo hakuwepo nyumbani. Lakini cha kushangaza, mwenye nyumba akawaambia wasimuue kwani ni mwanae!
 Cha kushangaza zaidi, chatu huyo alipoangaliwa vizuri alionekana anaburuza karatasi nyeupe aliyokuwa amefungwa mkiani ambayo ilikuwa imeandikwa maneno ya kiarabu ambayo hakuna aliyejua yana maana gani, hatimaye chatu huyo ameuawa!


0 TOA MAONI YAKO HAPA.:

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!