...hii ni vita ya hadi mwisho kati ya mafahari watatu wa eneo hili:
Kenya, Afrika ya Kusini, na sisi. Mfalme Lepold wa Ubelgiji alisema
whoever controls the riches of the Congo controls the Dark Continent.
Short cut kwenda Congo ni reli ya kati. Kenya wanajitahidi kuingiza na South Sudan na Lamu kwenye mahesabu, but where!
Pale Kidatu kuna transhipment (kwetu tunaitaga shunting) kati ya TAZARA
na reli ya kati, kwa hiyo tuna comparative advantage kuliko Mombasa,
Durban, Lamu, na Lobito. Ndiyo maana Jimbo lako (au ni la Mhe Zitto?)
baadhi yake lilikuwa ni sovereign territory ya King Leopold pamoja na
Berth kuu ya Darisalama hadi 1963 liNyerere lilipowakatalia.
Ndiyo maana Kenya hawalali usiku na mchana kutuumiza kwenye
international stature kwa majungu na uongo, bahati mbaya wakitumia
baadhi ya wabunge wetu kupitia magazeti yao yaliyopo nchini.
Reli ya Bagamoyo ni suunah, ni short cut kwenda Western Kenya
tutawamaliza kabisa. Please look at the bigger picture msijikite tu
kuwakandia CCM makatupa mti na jongoo lake, mnaiumiza nchi yetu.
0 TOA MAONI YAKO HAPA.:
Post a Comment