onseli
Mkuu, Bw. Omar Mjenga wa Konseli Kuu ya Dubai kwa niaba ya Serikali ya
Tanzania na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Irani iliyopo Dubai (Iranian
Hospital Dubai), wakiweka saini makubaliano ya pamoja ambayo yatatoa
punguzo la asilimia 40 ya matibabu kwa Mtanzania yeyote yule
atakayetibiwa katika hospitali hiyo. Makubaliano hayo yamewekwa saini
katika hospitali ya Irani iliyopo Dubai, maeneo ya Jumeirah.
Konseli Mkuu Omar Mjenga wa Tanzania, Dubai pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Irani, Dubai wakionyesha makubaliano mara baada ya kumaliza kutiliana saini.
0 TOA MAONI YAKO HAPA.:
Post a Comment