MTOTO AUNGUZWA MOTO KWA KULA NYAMA
Mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Ungindoni kata ya Mji Mwema Kigamboni, jijini Dar es Salaam (jina tunalihifadhi), anadaiwa kuchomwa moto na mama yake mkubwa Rachel Bundala sehemu mbalimbali za mwili wake siku ya Christmas Desemba 25, mwaka jana akidaiwa kula vipande viwili vya nyama. Mtoto huyo alichomwa moto kwenye paja, goti na mikono yote miwili.

0 TOA MAONI YAKO HAPA.:
Post a Comment