Tuesday, December 2, 2014






Wilaya ya Siha ni miongoni mwa wilaya saba mkoani Kilimanjaro ambayo ina ukubwa wa kilometa za mraba 1,158. Wilaya hii ilianzishwa mwaka 2007 ikimegwa kutoka wilaya ya Hai. Inatazamana na Milima ya Meru kwa upande wa Magharibi na Kilimanjaro kwa upande wa Kaskazini - Mashariki.

0 TOA MAONI YAKO HAPA.:

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!