Thursday, May 8, 2014

Askari wa Usalama barabarani eneo la Makumbusho, Dar wakimpiga Dereva wa gari ambaye amejitambulisha kama mwanajeshi!

 Tukio hili limetokea mida ya saa 9 mchana huu. Bado haieleweki chanzo ni nini.
 

posted by JAMII FORAM

0 TOA MAONI YAKO HAPA.:

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!