Thursday, May 8, 2014








BASI la abiria la kampuni ya Princess Muro lililokuwa likitoka Njombe kwenda Dar limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro na kujeruhi watu kadhaa. Katika ajali hiyo, hakuna aliyepoteza maisha.

0 TOA MAONI YAKO HAPA.:

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!