leo hii amehamia Tanzania anakula dili na vigogo wa serikali
kuliangamiza taifa umeme umepanda bei kwa ajili ya nguruwe pori huyu
akisaidiana na mamba na viboko walioko serikalini.huyu ndo boss wa IPTL/ESCROW ambaye anacheza madili na viongozi wa
serikali ili kuihujumu nchi yetu pia boss huyu ndiye alisababisha chama
cha KANU nchini kenya kuanguka kwenye uchaguzi mkuu baada ya baadhi ya
viongozi wa serikali ya KANU kucheza dili na huyu IPTL na kuiingiza
mkenge serikali ya kenya.
inasikitisha na inauma sana pale ambapo umeme ulikatika kwenye miji
yote ya tanzania kwa muda wa siku 2 wakati suala hili linaendelea
bungeni,wapiga debe,machinga na maskini wengine walichanga pesa sehemu
mbalimbali mbeya mjini na tukuyu wakanunua mafuta na kuweka kwenye
jenereta ili wawashe tv waone kiama cha wezi wa pesa za escrow lakini
cha kusikitisha ni pale wabunge wa ccm wanapoacha majukumu yao na
kuanza kuwatetea wezi wa pesa za escrow bila aibu yoyote hakika inauma
sana.yani watu wameingiliwa umeme umekatika wanenunua mafuta ili
waangalie bunge wabunge wa ccm wanatetea uovu?
ndugu zangu hakika umefika muda wa kufanya maamuzi magumu
0 TOA MAONI YAKO HAPA.:
Post a Comment