Mchungaji
wa Afrika Kusini aliyewahi kuwalisha waumini wake majani, sasa
anawanywesha petrol. Pastor Lesego Daniel wa Rabboni Centre Ministries
aliwahi kuandikwa sana na vyombo vya habari duniani kwa kuwaagiza
wafuasi wake kula majani kama wanyama kwa madai kuwa binadamu wanaweza
kula chochote kilichotika kwa Mungu.
Kitendo hicho kiliwaacha waumini wengi
wakitapika na kuharisha. Sasa anadai kuwa kunywa petroli hakuna tofauti
na kunywa juice ya nanasi.
0 TOA MAONI YAKO HAPA.:
Post a Comment