"Mimi
na Vertasha mwanangu tulianza mahusiano yetu wakat kipindi hicho akiwa
na miaka 16 tu.Lakini nilisubiri mpaka afikishe miaka 18 ndipo tungeanza
mapenzi kabisa kwa sababu ni umri ambao unaruhusiwa kisheria,sasa
tunatembea out bila kificho chochote ili kuwa saidia watu wengine ambao
wako kwenye uhusiano wa kishoga/mama na mwana/wasagaji ilio wajisikie
huru.Tunataka watu watutambue kwamba sisi tuna mahusiano ya jinsia moja
kama kawaida alisema mama huyo"
Sheria zinazuia mahusiano ya kindugu hasa suala la usagaji katika nchi nyingi za kiafrika.
"Sisi ni wanawake kwa hiyo mimi Vertasha hatuwezi kuzaa watoto tena na tumeridhika na mahusiano yetu "
Vertasha anafurahia mahusiano hayo pia na anasema hivi...!!
"Mama yangu ni mama yangu anafanya vitu ambavyo ni wajibu wa mama kuvifanya,ananinunulia nguo ananinunulia chakula ananiambia nikatandike kitanda ,so imetokea tu tukawa tunafurahia mapenzi kwa pamoja"

Posted by PAPARAZI
0 TOA MAONI YAKO HAPA.:
Post a Comment