MSANII mahiri wa komedi ambaye pia ni
Mwimbaji wa Injili, Emmanuel Mgaya ‘Masanja’ amenaswa akichati kwenye
simu wakati viongozi wa dini wakishusha maombi mazito.
Msanii mahiri wa komedi ambaye pia ni Mwimbaji wa Injili, Emmanuel Mgaya ‘Masanja’ akichati uku maombi yakiendelea
Msanii mahiri wa komedi ambaye pia ni Mwimbaji wa Injili, Emmanuel Mgaya ‘Masanja’ akichati uku maombi yakiendelea
Tukio hilo lililowachefua baadhi ya
waumini lilitokea hivi karibuni katika Uwanja wa Shule ya Msingi Saba
Saba, mjini Moro ambapo Masanja aliyekuwa meza kuu, wakati wenzake
wakiongoza sala ya kufungua kongamano hilo, yeye alikuwa bize na simu.
Kitendo hicho kilidumu kwa dakika
kadhaa kisha staa huyo ambaye pia ana ndoto ya kuwa mchungaji mkubwa
nchini, akajiunga na wachungaji wengine waliokuwa meza kuu kuendelea na
sala.
0 TOA MAONI YAKO HAPA.:
Post a Comment