Ni
aibu ya mwaka!! Msanii huyu wa kike wa bongomovie afumaniwa akiwa na
mme wa mtu Guest house. Hapo alikuwa akijarbu kujificha baada ya kutaka
kupigwa picha lakni mwisho wa siku picha nyingi za tukio zima
zilipatikana. Ni aibu sana kwa tasnia ya filamu bongo.
Na Sakina Sahabani Msanii chipukizi kwenye filamu za kibongo Amina Salum a.k.a Tity Baby amefunguka chanzo cha kufumaniwa ni shoga yake kumchoma kwa boy wake. Akizungumza na Xdeejayz wiki iliyopita Amani ambae amecheza filamu ya Ngema na nyinginezo alisema" Maisha tu haya ila kiukweli rafiki yangu alinifanyia kitu kibaya kwa kunichoma kwa boyfriend wangu ambae ilibidi anioe naamini hakuna binadamu aliyekamilika" Alisema Amina
Msanii Amina Salum" Tity Baby" siku alipofumaniwa na mchumbaake

0 TOA MAONI YAKO HAPA.:
Post a Comment