DUNIA
ina maajabu jamani! Msichana wa miaka 14 (jina limehifadhiwa) amebakwa
huku mwenzake aitwaye Mecy (11) akipigwa na kuporwa simu na mtu aliyedai
kuwa ni askari polisi (kituo hakijulikani).
Kwa mujibu wa Mecy (pichani)ambaye ni mkazi wa Kinondoni Msiriri jijini Dar, tukio hilo lilijiri hivi karibuni ambapo wote walijikuta wakipata dhahama hiyo baada ya kukutana na afande huyo na kuwafanyia vitendo vya kinyama.
Msichana wa miaka 14 (jina limehifadhiwa) kushoto aliyebakwa huku mwenzake aitwaye Mecy (11) akipigwa na kuporwa simu na mtu aliyedai kuwa ni askari polisi (kituo hakijulikani).

Akizungumza na Uwazi, Mecy ambaye alipigwa na kuporwa simu alisema:
“Ilikuwa saa kumi jioni, mimi nikiwa natembea njiani nilikutana na mwanaume aliyenisimamisha na kusema yeye ni polisi. Alidai mimi ni mzururaji, baadaye akasema nimemtukana, akaniambia tuongozane kwenda kituo cha polisi.

“Tukiwa
njiani, alianza kunipiga sana na kunipora simu kisha akanifunga pingu.
Mbele tulikutana na rafiki yangu (anayedaiwa kubakwa mkazi wa Kinondoni-
Shamba) naye akaunganishwa katika msafara,” alisema Mecy.
Mecy aliendelea kusema: “Tuliendelea kuzungushwa na yule polisi kuanzia hiyo saa kumi jioni hadi giza likaanza kuingia.
Msichana huyo aliyebakwa aonekanavyo kwa karibu zaidi.
“Tulifika
sehemu akatupeleka kichochoroni, wakati huo mimi nikiwa bado na pingu.
Akaniweka Kwenye kona ya nyumba na kwenda kumbaka mwenzangu.“Baada ya
kumaliza akasema ile ndiyo ilikuwa adhabu ya mwenzangu, mimi adhabu
yangu ni kile kipigo na kunipora simu.”
Baada ya simulizi ya Mecy, mwandishi wetu alifanikiwa kuzungumza na anayedai kubakwa, alikiri kufanyiwa kitendo hicho, akasema:
“Nilikutana
na (anamtaja jina) akiwa na huyo mwanaume ambaye kweli alimpiga na
kumpora simu ila sikumuona kama alimfunga pingu, nadhani kwa sababu ya
kitete nilichokuwa nacho.”
Mwenyekiti wa Mtaa wa Msisiri A, Omar Muhunzi alikiri kupata taarifa hizo za binti hao kufanyiwa kitu mbaya.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Msisiri A, Omar Muhunzi alikiri kupata taarifa hizo za binti hao kufanyiwa kitu mbaya.
Alisema
baada ya tukio, mabinti hao walikwenda kuripoti Kituo cha Polisi cha
Msisiri na kupewa PF3 yenye namba ya jalada MSR/RB/255/2014 KUCHUNGUZWA
KAMA AMEBAKWA.
Kwa
mujibu wa maelezo ya mama yake mdogo wa anayedai kubakwa, binti huyo
alipelekwa Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar ambako alilazwa kwa siku
mbili na kupimwa akitakiwa kurudi tena baada ya mwezi mmoja.
“Kwa sasa tunaelekea Kituo cha Polisi Oysterbay kwa ajili ya kufuatilia ili haki itendeke,’’ alisema mama huyo.
posted by global publisher>>>
0 TOA MAONI YAKO HAPA.:
Post a Comment