Wednesday, May 21, 2014







Balozi wa Togo nchini Nigeria amefariki akiwa na kimada kwenye ajali ya gari. Inasemekana marehemu hao walikuwa wameenda 'Club' kujistarehesha kisha wakati wa kurudi gari walilokuwa wakiendesha likapata ajali ya kuingia baharini

0 TOA MAONI YAKO HAPA.:

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!