Tuesday, September 11, 2012

Watu 14 wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika katika tukio la kuvunja kontena na kuiba vipande 19 vya madini,mafuta ya petroli lita 360 na dizeli lita 60 katika yadi ya kampuni la ORXY jijini Dar es salam.

0 TOA MAONI YAKO HAPA.:

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!